emblem

Kilimanjaro International Airport
KADCO

KADCO Logo

Maswali

Hutegemea na shirika la ndege, hata hivyo madawati ya kukagulia tiketi hufungwa dakika 30 mpaka 40 kabla ya muda wa ndege kuondoka

Ndio, Huduma ya taksi kwenye eneo la kiwanja. Unashauriwa kutumia taksi zenye mikanda kama hapa chini.

Ndio, Kuna eneo la kuvutia sigara ndani ya jengo la abiria. Chumba kinapatikana ghorofa ya kwanza la jengo la kuondokea abiria

Matoroli ya kubebea mizigo ya abiria yanapatikana upande wa maegesho ya magari

Hapana, Mashine za kukagulia abira hazina madhara kwa wajawazito, hivyo yeyote anakidhi kukaguliwa

Hutegemea na aina ya shirika la ndege, hata hivyo madawati ya kukagulia tiketi hufungwa dakika 30 mpaka 40 kabla ya muda wa ndege kuondoka

Mashirika mengi ya ndege huwa na viti vyao maalumu kwa ajili ya kubebea wangonjwa au wasiojiweza. Hata hivyo unashauriwa kuwasiliana na shirika la ndege unalotaraji kutumia kwa ufanunuzi zaidi

Uzito wa mizigo unatofautiana kulingna na daraja la tiketi uliyokata, pia uzito wa mizigo hutofautiana kati ya shirika moja la ndege na lingine