emblem

Kilimanjaro International Airport
KADCO

KADCO Logo

KODI ZA UWANJA

charges kilimanjaro international airport

Kodi za Uwanja

ADA ZA KUTUA
Ada hizi hutozwa kwa mtuo mmoja kwa kila uzito wa kilo 1,000, Hivyo ada hizo hutozwa kwa kuzingatia uzito wa ndege husika. Ada hizo pia ni muongozo kutoka serikalini kama ambavyo imeanishwa hapa chini;

Ndege zilizosajiliwa nchini Tanzania, dola tano (5) za Kimarekani
Ndege zilizosajiliwa nje ya Tanzania, dola tano (5) za Kimarekani

Hata hivyo, Ongezeko la asilimia 30 (30%) hutozwa kwa ndege zitakazotua au kuruka wakati wa usiku

ADA ZA MAEGESHO YA NDEGE

Uzito wa Ndege
Ndege zilizosajiliwa TanzaniaNdege zilizosajiliwa nje ya Tanzania

0 - kg 20,000

Ths 1,000 kwa kila baada ya masaa 12

dola 5.00 kwa kila baada ya masaa 12
kg 20,000- kg 60,000Tshs 1,000 kwa kila baada ya masaa 6dola 5.00 kwa kila baada ya masaa 6
Zaidi ya kg 60,000Tshs 1,000 kwa ila lisaadola 5.00 kwa kila lisaa

Mashirika ya ndege yatakayo ruka kutoka Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro, yatatozwa

a. Tsh 10,000 kwa abiria wa safari za ndani
b. Dola 40 kwa kila abiria wa safari za Kimataifa

GHARAMA ZA MAFUTA


AINA YA MAFUTAUWEZO WA TENKIAda kwa kila lita (Dola za Kimarekani)
1JET A-1lita 610,000 0.7
2AVGASlita 32,000 1.4