Huduma za Afya
Ukiachana na kuwa lango kuu kuelekea kwenye urithi wa Afrika, Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro unachukua jukumu la afya yako kama jambo la msingi zaidi. Wataalamu wetu wa afya wanafanya kazi bega kwa bega na wizara ya afya kuhakikisha afya yako iko salama kabla ya kuanza kwa safari yako. Hizi ni baadhi ya huduma za afya zinazopatikana hapa.
Zahanati zetu zote hufanya kazi masaa 24 bila kujali sikuu. Zifuatazo ni baadhi ya huduma zitolewazo katika zahanati zetu hapa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro:
Duka la Dawa
Taratibu Ndogo
Chanjo
Huduma za matibabu ya dharura
Uchunguzi kabla ya safari
Mawasiliano
+255736 053 887 - Zahanati ya KIA
+255766 999 635 - Dk. Gory
+255766 188 807 - Dk. Swai

