emblem

Kilimanjaro International Airport
KADCO

KADCO Logo

Matoroli ya Mizigo

Matoroli yetu yapo sehemu rahisi kufikika pande zote mbili za abiria wanaowasili na wale wanaoondoka. Kwa abiria wanaoondoka matoroli yapo eneo la maegesho punde tu baada ya kituo cha kushushia abiria. Kwa abiria wanaowasili, matoroli yapo punde tu baada uhamiaji (kwa abira wanaowasili kimataifa) lakini kwa abiria wanaowasili kwa safari za ndani ya nchi, matoroli yapo katika eneo la kusubiria mizigo