emblem

Kilimanjaro International Airport
KADCO

KADCO Logo

Ukaguzi wa tiketi

Wasafiri wa Kimataifa
Kwa wasafiri wa Kimataifa, tunashauri kufika uwanja wa ndege masaa matatu kabla ya muda wa safari. Hakikisha una nyaraka zote za safari. Madawati ya kukagulia abiria yanapatikana baada ya

Wasafiri wa Ndani
Kwa wasafir wa ndani ya nchi, tunashauri ufike saa moja kabla muda wa safari. Nyaraka zote muhimu za safari kama tiketi n.k lazima zibebwe na abiria siku husika ya safari.

Mizigo
Tunashauri abira wote wafahamu mizigo ipi hairuhusiwi kubebwa na ipi inastahili kabla ya kuanza safari kuja uwanja wa ndege. Taratibu maalumu zinatumika wakati wa kusafiri na wanyama, vitu vyenye ncha kali kama vifu, bidhaa zenye asili ya vilipuzi kama gesi, viberiti, sumu, na bidhaa zingine zote zinaweza kuleta hatari. Hatua hizi maalumu zitafuata la sivyo kutakuwa hakuna namna yeyote ile bidhaa hizi zitaruhusiwa kusafirishwa.