emblem

Kilimanjaro International Airport
KADCO

KADCO Logo

Huduma za Ndege zikiwa uwanjani

Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro bega bega na wabia wetu www.swissport.com & www.nas.aero tunatoa huduma mbalimbali kuhakikisha ndege zinahudumiwa wakati wote zikiwa kiwanjani. Huduma hizo ni pamoja na:

i. Huduma za abiria wanaowasiri
ii. Huduma za kukagua mizigo
iii. Huduma za waongoza ndege sehemu ya maegesho
iv. Huduma za kukagua tiketi za abiria
v. Huduma za kupakia na kupakua mizigo

Swissport Tanzania,Ni kampuni tanzu kutoka Swissport International. Hawa ni wabia wenzetu kwenye sekta hii wakiwa na uzoefu wa zaidi ya mika 35 kwenye kuhumia ndege ilihali wakiwa na uwezo wa kuhudumia mizigo zaidi ya tani 17 kwa mwaka, huku wakiwa na mtaji wa nguvu kazi ya wafanyakazi zaidi ya 600 duniani kote. Soma zaidi


NAS DAR AIRCO COMPANY, Mbia mwenzetu katika sekta hii ni kampuni tanzu ya NAS DAR AIRCO, wakiwa na miongoni mwa makapuni yayokua kwa kasi zaidi kwenye sekta hii. Wakiendelea kutoa huduma katika kanda tatu (3) tofauti ikiwemo, Afrika, Asia ya Kusini na Mashariki ya kati, huku wakiwa na nguvu kazi ya wafanyakazi zaidi ya 600 duniani kote. Mbia mwenzetu kampuni ya NAS DAR AIRCO inahudumia zaidi ya nusu ya mashirika kumi (10) bora zaidi ya ndege duniani. Soma zaidi hapa