emblem

Kilimanjaro International Airport
KADCO

KADCO Logo

HOTELI & MIGAHAWA

Mapishi ya chakula ni saa iliyokuwepo tangu na tangu. Hapa lugha ya chakula ndo lugha rasmi katika migahawa na hoteli zetu ndani ya eneo la uwanja. Maeno ni turivu na bei zinalipika. Karibu Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro.

1. KIA LODGE

Kutazama machweo ya jua juu ya Kilele cha mliman Kilimanjaro ni rahisi zaidi ukiwa hotelini hapa. Uwepo wa bwawa la kuogelea katika mwinuko wa nyuzi 360 wa kilima kwenye hoteli hii inakupa fursa ya kuzama mbuga ya savana ukiwa ndani ya maji. Vinywaji baridi pamoja na chakula cha asili na vile vya wageni vyote vinapatikana hapa.



2. KIA CATERING HOTEL

Hotel io ipo katikati ya eneo la uwanja upandae wa wasafiri wa kimataifa ikiwa na madhari nzuri. Uwepo wa mazingira tulivu yalipondeshwa na vioo kutoka juu hadi chini ili kumuwezesha msafiri kuona vizuri mazingira ya nje ikiwemo milima na eneo la kupakia ndege bila kuzuizi. Vyakula vya kiswahili na vile vya kimataifa vinauzwa hapa. Jambo zuri ni kuwa, kila kitu haraka na chini ya dakika tano utapatiwa kile ulichoagiza.

3. HOTELI YA WASAFIRI WA DARAJA LA BIASHARA

Wasafiri wa class la biashara wana eneo maalumu kwa ajiri ya kupumzika na kupata chakula. Hata wasafiri wengine ambao hawasafiri na daraja la biashara unaweza kupata huduma hapa kwa malipo binafsi.

4. MGAHAWA WA NJE WA MEKUZ BISTRO

Mgahawa huu upo mita chache toka kwenye eneo la abiria. Upekee wa mgahawa ni kuwa upo eneo la wazi, hivyo kumpa msafiri fursa ya kuendelea kufurahia mazingira wakati akipata chakula au kinywaji. Mgahawa huu hupokea wasafiri, wasindikizaji wa safari, wafanyakazi wa uwanja na watu kwa ujumla.