UHAMIAJI
HUDUMA ZA PASIPOTI
Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inatoa pasipoti na nyaraka zingine za kusafiria kama ambavyo imeanishwa katika sheria ya pasipoti na hati za kusafiria namba 20 ya Mwaka 2002 na kanuni zake za mwaka 2004
Soma zaidi hapa
HUDUMA ZA VISA
Kwa mgeni yeyote anayetaka kuingia ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania atahitajika kufuata utaratibu ufuatao
Soma zaidi hapa
VIBALI VYA WAKAAZI
Kwa mgeni yeyote yule mwenye nia ya kuingia ndani ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya uwekezaji, biashara, ajira au shughuri zozote zile za kihalali, atatakiwa kuwa; Soma zaidi hapa
URAIA
Masuala yote yahusuyo Uraia wa Tanzania yanasimamiwa na sheria ya Uraia ya mwaka 1995(Marekebisho ya 2002) na Kanuni zake za mwaka 1997
Soma zaidi hapa

