emblem

Kilimanjaro International Airport
KADCO

KADCO Logo

MAGHARA YA MIZIGO

Mjumuiko wa maghara yetu yanakidhi mahitaji ya uhifadhi wa bidhaa mbalimbali. Kuanzia mizigo midogo, ya kati, mpaka ile mikubwa kabisa. Uwepo wa ulinzi masaa 24 pamoja na uwepo wa technolojia rafiki inafanya Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro uwe seheme salama zaidi ya kusafirishia bidhaa kwenda kwenye masoko kote ulimwenguni.